coutinho na liverpool 2017
philipe coutinho Twaweza sema kuwa kwa kila timu basi kunakuwa na kiongozi, sio lazima awe nahodha lakini yaipasa kila timu kuwa na mchezaji ambaye uchezaji wake utaweza kuibeba timu nzima kwa msimu husika. Kwa upande wa majogoo wa jiji la anfield liverpool FC, mchezaji mnyumbulifu mzaliwa wa Brazil COUTINHO ameonesha kuwa ndiye mchezaji muhimu sana chini ya kocha wa kijerumani Jurgen Kloop.